Wangoni na wamatengo waogopeni

Nimeipenda hii,,mimi si mngoni wala mmatengoni bali mmanda wa ludewa bt nimezaliwa na kukua kwa wamatengo(mbinga)wamatengo wengi wanapenda kusema wao ni wangoni hasa wakiwa nje ya mkoa wa Ruvuma,,alafu ni watanzania wachache sana wanalifahamu hili Kabila la wamatengo,,wengi wanajua ruvuma ni kwa wangoni,,,huwa ninampenda huyu dada Jokate mwegelo,,whenever you ask her about kabila atakujibu mimi ni mmatengo frm mbinga,,,!!!
 
Pia tunapenda ushirikiano sana" msengwile valongo zanguΒ€2,navina kumanya ahee,ngati chama cha bwina" ikhmaansha ahsanteni ndugu zangu,sikua najua kama undugu ni mzuri' huo wimbo huwa unaimbwa wakati wa sherehe baada ya kufupa/kutuza:

Umenikumbusha mbaaali sana kwenye harusi ya Dr Wenslaus Nyoni iliyofanyika kule Maguu, Mbinga. Hakika nilijifunza mengu kijiografia kutoka Mbinga mpaka Nyoni na kuishia maguu lakin kubwa Tulicheza Lizombe original.

Hongereni sana Wangoni.
 
Vangoni vajovelahi kuhongana, kazi yingi viweza lepa. Kilu kilu kuhongana , vandu vihongana jamani kusongea, hadi lukela ukapita mumagesti huyuwana sauti ya mdala ijova homola uti nikatundi makocho.
 
Vangoni vajovelahi kuhongana, kazi yingi viweza lepa. Kilu kilu kuhongana , vandu vihongana jamani kusongea, hadi lukela ukapita mumagesti huyuwana sauti ya mdala ijova homola uti nikatundi makocho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuh, linda nimalaoti ugimbi lukelahii nikilauka kunyumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona Wangoni mnangonika tu!πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Vangoni vajovelahi kuhongana, kazi yingi viweza lepa. Kilu kilu kuhongana , vandu vihongana jamani kusongea, hadi lukela ukapita mumagesti huyuwana sauti ya mdala ijova homola uti nikatundi makocho.
Ibesa mau!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…