Wangekua na akili kama zetu

Wangekua na akili kama zetu

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,263
Tungeisha binadamu
 

Attachments

  • 1433270130456.jpg
    1433270130456.jpg
    24 KB · Views: 785
papa kashikilia kama lipicha au sanama ya mdada alafu ameiinua juu chini ana kifimbo hapo ni kwwnye maji
sasa namuona jamaa kwa mbali kule anamkimbilia mdada ajui kama ni tego

Uwiiiii maskini weeee!
 
kama hawa viumbe wangepewa akili ya kuzijua tamaa zetu, MNGEISHA mimi simo.
 
papa kashikilia kama lipicha au sanama ya mdada alafu ameiinua juu chini ana kifimbo hapo ni kwwnye maji
sasa namuona jamaa kwa mbali kule anamkimbilia mdada ajui kama ni tego

Hadith hii kakufundisha nani na amesema ina maana gani
 
Duniani kwenye akili timamu ni binaadamu tu lakini hakukaliki kwa utulivu.
 
papa kashikilia kama lipicha au sanama ya mdada alafu ameiinua juu chini ana kifimbo hapo ni kwwnye maji
sasa namuona jamaa kwa mbali kule anamkimbilia mdada ajui kama ni tego
Hiii mitego ingedaka watu wengi sana, esp man
 
Back
Top Bottom