Punguza vigezo hujui humu kuna watu wanakupendaga ila kigezo chako ndio kinakuweka mpweke legeza sema chura iwe wastani ila awe mrembo sio sana nitaibiwa asiwe mrefu sana wastani couze nitashindwa kushika yote miguu vizuri .
Basi ule mzigo wako kirahisi so nataka chura nenda miferejini.