Wangapi wangefanya kinyume na Klyn?

watanzania na sie tukiamua kuchekesha. Ikitokea Mengi anaamka hapa hakika hawezi kutuelewa. Umesema mali za ndugu yetu? Hahaha hivi sisi ambao roho zinatutoka tuna hata undugu na marehemu?
Hahaha hata ujirani naye hatuna, ila roho zinavyotuuma acha tu. Kweli uchawi sio hadi upae na ungo
 
Me mwenyewe siwaelewi; ila nahisi walitaka Jacky na wanae wasiruhusiwe kuwepo msibani; na sielewi ni kwa misingi ipi. Ila binadamu tunatia aibu jamani; mali za ndugu zetu zinatutoa roho mweeh.
Hapa kuna Wanaume wenzangu mpaka wakaapa wamachame hawawezi kukubali Jackie akanyage Kijijini.

Yaani Mtu mzima kama Mengi afanye maamuzi yake ya kupata mpenzi, kuoa tena wakati ameshaachana na Mke wake way back leo mliobaki muanze kuweka masharti, pumbavu kabisa.
 
Unaweza kuweka evidence ni wapi Jackie alitaka hiyo 50%?
 
Hahaa na kijijini anaenda. Na anapewa heshima zote kama mke wa marehemu
 
Hahaha hata ujirani naye hatuna, ila roho zinavyotuuma acha tu. Kweli uchawi sio hadi upae na ungo
Tupo makini. Tunaangalia mpaka facial expression, kadri utavyokuwa na majonzi sana ndivyo mgao utakavyokuwa mkubwa! Na kwa taarifa yako ole wako kama Jackie hajatoa machozi jana na leo hapati hata senti tano. Kwanza mali ya Mengi tuna mamlaka nayo. Mwisho wa kunukuu
 
Unaweza kuweka evidence ni wapi Jackie alitaka hiyo 50%?
Hahaha nkamu unanifurahisha. Kwa sababu tu ya chuki zao zisizo na msingi watu wameamua kuamini huo upuuzi. Mzee was very smart, so possibly kila mtu ameshapewa cha kwake mapema.
 
Hahaa walitaka Jacky alie kwa kujigalagaza kama ndugu zangu wanyakyusa.
 
Hahaha nkamu unanifurahisha. Kwa sababu tu ya chuki zao zisizo na msingi watu wameamua kuamini huo upuuzi. Mzee was very smart, so possibly kila mtu ameshapewa cha kwake mapema.
naamini hiki kilifanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…