Wangapi wangefanya kinyume na Klyn?

Wangapi wangefanya kinyume na Klyn?

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
57,723
Reaction score
129,409
Huyu dada anashambuliwa sana kwa kuolewa na Marehemu Mengi, kwamba kafuata hela,golddigger etc. Sasa najiuliza hawa wanaomponda(wanawake) ni wangapi wangepata proposal ya kuolewa na late Mengi wangekataa? Ni wanawake gani hao Tz hii wangefanya kinyume na Klyn?
 
Wanawake ni jamii ya watu wanaochukiana sana wao kwa wao ndugu, huwa wanaoneana wivu hata wanapoona mwenzao kaenda msalani watalazimika na wao waende hata kama hawajabanwa na haja ili waonekane wapo levo moja
 
Huyu dada anashambuliwa sana kwa kuolewa na Marehemu Mengi, kwamba kafuata hela,golddigger etc. Sasa najiuliza hawa wanaomponda(wanawake) ni wangapi wangepata proposal ya kuolewa na late Mengi wangekataa? Ni wanawake gani hao Tz hii wangefanya kinyume na Klyn?
HAKUNA!
 
A million question. Na ukitaka kujua wasingekataa wasome wote wanajadili mgao wa mali. Means hiyo ndiyo aim yao kubwa kuhusu ndoa kwa Mtu aina ya Mengi!! Kwa hiyo jibu lipo wazi kabisa.
 
Hivi wakati mengi anamchukua na kufunga naye kinachosadikika ni ndoa nje ya nchi...Je!! ile ndoa ya awali aliyokuwa amafunga kwa taratibu za kikristu ambayo ni ndoa ya mke mmoja na mme mmoja isiyotenguliwa hadi kifo, je ndoa hiyo ilitenguliwa na nani wkati mke halali wa mengi alikuwa bado hai?
 
Walikuwa wameshapeana divorce siku mingi
 
Huyu dada anashambuliwa sana kwa kuolewa na Marehemu Mengi, kwamba kafuata hela,golddigger etc. Sasa najiuliza hawa wanaomponda(wanawake) ni wangapi wangepata proposal ya kuolewa na late Mengi wangekataa? Ni wanawake gani hao Tz hii wangefanya kinyume na Klyn?

Historically,kuna waliokataa to begin with...

1.Mke wake wa Kwanza: Technically alioelewa,ila alikuja kupiga chini,sijui tuisemeje hiyo

2.Madam Ritha:Alipiga chini mazima

3.Dada Mwanasheria : Piga chini mazima

I'm sure among Tanzanian women population ukifanya sensa kuna watakao kubali na watakao kataa vile vile!
 
Back
Top Bottom