Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,136
- 55,605
Wangapi wanayapenda haya maisha?
ha ha ha ha kwa sababu ya tackle
😂 😂 😂 😂 😂 😂 wewe ndio mwenye genye baada ya kuona boksa yake
uyo dada anayapenda kama akipewa pesaWangapi wanayapenda haya maisha?
View attachment 1371998
ha ha ha pesa ni kitu kingine mkuuuyo dada anayapenda kama akipewa pesa
😂 😂 😂 😂 😂 😂anahenyeka na moto hapo mwingine juu anamwagia maziwa huku anataka kumdondokea na huyu jamaa anambambabamba hapo nyuma
Yeah she isn’t even happyuyo dada anayapenda kama akipewa pesa
Yeah she isn’t even happy
Nakubaliana kutofautiana😆I disagree
Anae mume hapo anamuonyesha malavidavi halafu katoto kake kapo pemben kanamchokoza
Uwepo wa watu hao wawili ni kafuraha tosha
Ukichunguza pcha hapo baharia atakuwa anaambiwa "nawe si usibiri nimalize kupika jamani we na junior ni wasumbufu "
Sent using Jamii Forums mobile app
We umejuaje kama huyo Dada angekuwa hana hata asingegeuka angekuwa bize anapika
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaonekana ni mtamu