Wangapi wanawajua wanamziki "MAKOMA"?!

Wangapi wanawajua wanamziki "MAKOMA"?!

Na yesu masiah
Eeeh
Wakaka walivyokuwa wanarap

Pia niliwahi sikia kuwa yule Dada dume aligongwa akafariki
 
Leo ktk pita pita zangu WhatsApp status video nikamwona cousin wangu kaweka wimbo huu wa wanamziki wa Gospel wanaitwa "Makoma"

Doh ulinikosha sana naupendaje alafu hauchuji unaitwa Butu na Moyi

Wangapi wanaujua huu wimbo?!

Kama unaujua wewe ni muhenga unatakiwa uwe umeshawowa /olewa na una watoto

Cc:
Honey 50thebe huu wimbo ulikuwa ushazaliwa au ulikuwa kwa tumbo ya mamayako?!

Nikiwasikiaga makoma, nakumbuka mbali sana.....maisha haya, acha yawe tu
 
Leo ktk pita pita zangu WhatsApp status video nikamwona cousin wangu kaweka wimbo huu wa wanamziki wa Gospel wanaitwa "Makoma"

Doh ulinikosha sana naupendaje alafu hauchuji unaitwa Butu na Moyi

Wangapi wanaujua huu wimbo?!

Kama unaujua wewe ni muhenga unatakiwa uwe umeshawowa /olewa na una watoto

Cc:
Honey 50thebe huu wimbo ulikuwa ushazaliwa au ulikuwa kwa tumbo ya mamayako?!
Unawaongelea ''Makoma'' unawafahamu ''KAOMA'' ?
 
Leo ktk pita pita zangu WhatsApp status video nikamwona cousin wangu kaweka wimbo huu wa wanamziki wa Gospel wanaitwa "Makoma"

Doh ulinikosha sana naupendaje alafu hauchuji unaitwa Butu na Moyi

Wangapi wanaujua huu wimbo?!

Kama unaujua wewe ni muhenga unatakiwa uwe umeshawowa /olewa na una watoto

Cc:
Honey 50thebe huu wimbo ulikuwa ushazaliwa au ulikuwa kwa tumbo ya mamayako?!

mimi nawajua kipindi nipo mdogo kama miaka kamam 4 hivi mzee alikuwa anatusikilizisha hadi akaaamua kutununulia kanda yake zile za utumbo amabazo zina side ikiisha unaweka side b ...naikubali sana nyimbo karibia zore tukianzia ...napesi, butu na moi, na ile yote majina nimeyashau
 
Hatareeee 💃💃💃
 
Back
Top Bottom