Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
- Thread starter
- #21
Hahaha mhengaKitambo sana.
Umenikumbusha mbali sana.
Hahaha mhengaKitambo sana.
Umenikumbusha mbali sana.
Hahaha mhengaamwingine unaitwa natambolii pia moto oyo
Ndio jeEti umeshawowa/olewa na una watoto.
Of courseUkiwajua Makoma unakuwa Mhenga!??
MhengaYeah
Naukumbuka natambolii kwanza inaanza kama disco fulani hivi, watu wanajiachia kwanza halafu ndio wimb unafuata.
Ilikuwa njema sana miaka hiyo.
Woyooo mhengaNtombi,Pamela nkhuta
YeslHahaha mhenga
Uuuuwi English ya mhenga sasaKipind nimeanza kuwajua jamn they was drive ma mood crazy
Hahahah ni miaka 18 iliopita jamaa dohWalikuwa wakali during their era
Sijakuona pm bossMoney Penny njoo PM nikuulizage
Sahihisha mkuuuUuuuwi English ya mhenga sasa
Wimbo mzuri sana ila mi sio mhenga mama yangu mdogo alikua anawapenda sana hawa makoma kipindi hicho mida ya jioni ITV lazima waupige
kitu Napesi yoooooooooooooooo.
Hivi ni wa nchi gani wale?
Albàmu ya 2000 mwaka
From DRC Congo. Hao ni watoto wa familia 1.FAMILLE MAKOMA, Ila kwasasa walisha vunja Ilo kundi lao kutokana na majukum mbali mbali hasa majukum yakifamilia
Kitambo sana.
Umenikumbusha mbali sana.
mwingine unaitwa natambolii pia moto oyo
Ukiwajua Makoma unakuwa Mhenga!??
Eti umeshawowa/olewa na una watoto.
Money Penny njoo PM nikuulizage
Leo ktk pita pita zangu WhatsApp status video nikamwona cousin wangu kaweka wimbo huu wa wanamziki wa Gospel wanaitwa "Makoma"
Doh ulinikosha sana naupendaje alafu hauchuji unaitwa Butu na Moyi
Wangapi wanaujua huu wimbo?!
Kama unaujua wewe ni muhenga unatakiwa uwe umeshawowa /olewa na una watoto
Cc:
Honey 50thebe huu wimbo ulikuwa ushazaliwa au ulikuwa kwa tumbo ya mamayako?!
Woyooo mhengaaaNapesiii nayoooo motema na ngaiiii
Kitambo sana yaniWoyooo mhengaaa
Honey Money Penny mwaka ambao hawa ndugu ambao kundi lao waliliita Makoma wakitamba na vibao vyao kadhaa wa kadhaa, first born wangu alikuwa anafikisha miaka 11.
Mwaka ambao mabinti Wamarekani wakiitwa TLC wanatusua anga za muziki na kibali chao cha "Chasing Waterfall" nilikuwa nasubiri kujiunga tertiary education.
Nishakuwa mhenga mzoefu Honey Money Penny
Nimevaa raba mtoni nyekundu Na shati la Njano suruali ya pinkSijakuona pm boss
Uje na huku Story: MahusianoNapesiii nayoooo motema na ngaiiii
Sijakuona kabisa shemNimevaa raba mtoni nyekundu Na shati la Njano suruali ya pink