Wangapi wanamkumbuka huyu nyota wa Bongo?

Duh! Leo nimemkumbuka tena nikawa naimba ule wimbo wake wa wife....
"Long time namzimia huyu shori, sikuamini kua ndie atakaenifaa
Sikuwahi hata kupiga nae story ila siku moja maskani nimekaa nashangaa....kupokea yake barua, anadai mi ndo namchengua.....hata jibu la kumpa mwenzenu sikujua nikamuambia basi mama moyo wangu chukua"
That's my favourite among his songs.
 
Nafurahi kumpataaa
Mwenye sifa zote nnazotakaa
Kiuno anajua kukata kata nimedata sitomwachaaa

Kudadadeki chezea sembe wewee
 
mwenye umbo namba nane ananichanganya
toka moyoni nasema nampenda sana
au nipige gita zaidi ya santana
ili na me nimuimbe mamaaa.

sembe noma
 
vp mchizi wangu mbona naona umesizi
inavyoonekana kama moyoni una majonzi
au dili zako leo haziendi sawa
jinsi unavoonekana kama umepagawa
niambie ili nielewe, ili na mie nisipagawe
 
vp mchizi wangu mbona naona umesizi
inavyoonekana kama moyoni una majonzi
au dili zako leo haziendi sawa
jinsi unavoonekana kama umepagawa
niambie ili nielewe, ili na mie nisipagawe

Eeeh bwana daah! Huyu jamaa nilikua namkubali sana.
 
Eeeh bwana daah! Huyu jamaa nilikua namkubali sana.

ila bado ananafasi kurudi, ajifunza kutoka kwa qchilla maana amokoka kutoka kwenye janga la sembe saivi anaimba nyimbo za kuregret
 
Siku zote ukipenda kupata ile starehe ya mwisho dunian lazima kuna mahala utakapo jishkia chini tuu
wee tizama wote walopenda ile starehe zaid ya starehe iliyo kuu kuliko zote usoweza kuipata popote pale hata uwe wa aina gani lazima uje uregret tu
 
ila bado ananafasi kurudi, ajifunza kutoka kwa qchilla maana amokoka kutoka kwenye janga la sembe saivi anaimba nyimbo za kuregret

Kweli.Niliwahi kumuona akifanyiwa mahojiano na vituo vya tv ila jamaa bado anaishi kizamani sana.
Anatakiwa abadilishe lifestyle kwanza.
 
Bila shaka kuna mtu unamzimia,kushika mistari yote hiyo!.. nguvu uliyotumia kukalili iwe bure tu?
 
Bila shaka kuna mtu unamzimia,kushika mistari yote hiyo!.. nguvu uliyotumia kukalili iwe bure tu?

Hahahahahaaa! Ujue kipindi hicho huu wimbo ulivyotoka nilikua std 4 na nilikua naupenda sana.Hivyo nikawa naujua wote na hadi leo bado naukumbuka namna hiyo....

Sio huo tu, nakumbuka nyingi pia.Namshukuru Mungu maana nina kumbukumbu sana.
 
Hongera std 4 unaweza kalili mpaka leo kweli wewe uko vzr...hii ndio tunaita akili kubwa
 
Siku zote ukipenda kupata ile starehe ya mwisho dunian lazima kuna mahala utakapo jishkia chini tuu
wee tizama wote walopenda ile starehe zaid ya starehe iliyo kuu kuliko zote usoweza kuipata popote pale hata uwe wa aina gani lazima uje uregret tu
Hapan shaka starehe yenyewe ni ile ''shadr at el munyah'':tonguez:
 
Anaitwa Daz Baba..

Namkumbuka thru namba hzo hapo;
1.Nipe Tano
2.Wife
3.Barua
4.Kamanda
5.Jirushe
6.Njoo
7.Viwanjani
8.Life stlye
9.Saluti
10.Shukumu
11.Tanzaniano
12.Namba 8 ft Fid Q
13.Elimu dunia ft. Afande Selle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…