Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,617
- 3,718
Si rahisi kumiliki gari Zero KM. Hakuna binadamu yeyote ambaye alishamiliki zero km hapa dunianiHy Broski , Gari unalolimiliki ww ndo umelitoa Bikra au ni Used. Mjini wanaomiliki Zero kilometer wachache
Nazungumzia mwanamkeSi rahisi kumiliki gari Zero KM. Hakuna binadamu yeyote ambaye alishamiliki zero km hapa duniani
Acha fix. Me nafanya kazi kwenye eneo ambalo donor alishanunua gari la mradi jipya with 0km na likaja na makaratasi yakeSi rahisi kumiliki gari Zero KM. Hakuna binadamu yeyote ambaye alishamiliki zero km hapa duniani
Nimezungumzia mwanamke kimafumboNgoja kwanza nijichange mwaka huu ninunue hata baiskeli naona dhalau zimezidi mjini sasa.
Hujanielewa bibie, gari linapoingizwa ndani ya meli linatembezwa, hivyo haliwezi kufika bandarini na Zero km. Likitoka katika meli linaendeshwa kupakiwa, na likitoka bandarini lazima liendeshwe hadi linapokwenda. Kwa bahati mbaya sie ni mathematiciansAcha fix. Me nafanya kazi kwenye eneo ambalo donor alishanunua gari la mradi jipya with 0km na likaja makaratasi yake
Au unamaanishaje kusema hakuna binadamu kaninua gari mpya 0km?
Lakini yananunuliwa na 0kmHujanielewa bibie, gari linapoingizwa ndani ya meli linatembezwa, hivyo haliwezi kufika bandarini na Zero km. Likitoka katika meli linaendeshwa kupakiwa, na likitoka bandarini lazima liendeshwe hadi linapokwenda. Kwa bahati mbaya sie ni mathematicians
Ebo! Namana ubongo wangu umelala kiasi hiki nimeshindwa kung'amua hii kitu, aiseeeee.Nimezungumzia mwanamke kimafumbo
Hahahaha nadhani anamaanisha itakua imetembea tu ,hapo kutoka Port Hadi yard au showroom ama nyumbani ,ila kufika kwa mteja itakua imeenda hata 10kmAcha fix. Me nafanya kazi kwenye eneo ambalo donor alishanunua gari la mradi jipya with 0km na likaja na makaratasi yake
Au unamaanishaje kusema hakuna binadamu kaninua gari mpya 0km?
Ha hahahaha,Mkuu kunywa Soda huko ulipo nakuja kulipaNimezungumzia mwanamke kimafumbo
Umemaliza mjadara mkuu uzi ufungweUkishakuta mwanamke ni zero kilomita unapata faida gani
Cha msingi asiwe na mtoto na hajaliwa tigo
Ngoja nikuambie mkuu huko dunia ya kwanza ¾ ya watu hununua magari 0 KM. Hata bongo baadhi hununua 0 KM.Si rahisi kumiliki gari Zero KM. Hakuna binadamu yeyote ambaye alishamiliki zero km hapa duniani
Tatizo lenu hamnielewi. 0KM inasomwa katika Dashboard.Ngoja nikuambie mkuu huko dunia ya kwanza ¾ ya watu hununua magari 0 KM. Hata bongo baadhi hununua 0 KM.
KAma ni gari ni 0KM hayo mengine achana nayo
umewachanganya hadi mods wakauweka Jf garage badala ya MMUHy Broski , Gari unalolimiliki ww ndo umelitoa Bikra au ni Used. Mjini wanaomiliki Zero kilometer wachache , halafu watu wengine wanamiliki Magari yameshatumiwa na watu zaidi ya 10 na hawaoni shida , hapo service za kujirudia lazma zihusike . Watu wazima wananielewa
ww ni zero kilomita? hatuongelei magari hapaAcha fix. Me nafanya kazi kwenye eneo ambalo donor alishanunua gari la mradi jipya with 0km na likaja na makaratasi yake
Au unamaanishaje kusema hakuna binadamu kanunua gari mpya 0km?