JosephElly JF-Expert Member Joined Jun 5, 2012 Posts 2,432 Reaction score 1,035 Oct 13, 2012 #1 Dah.. Hebu jaribu hii uone matokeo. Kaa siku tatu bila kumpigia simu rafiki yeyote au mpenzi wako uone utapata wangapi watakato piga, kutuma SMS au angalau kubeep... Nadhani hiki ni kipimo kizuri cha wanaokumiss. ***No call without missed call****
Dah.. Hebu jaribu hii uone matokeo. Kaa siku tatu bila kumpigia simu rafiki yeyote au mpenzi wako uone utapata wangapi watakato piga, kutuma SMS au angalau kubeep... Nadhani hiki ni kipimo kizuri cha wanaokumiss. ***No call without missed call****