Wangapi wanafahamu kuhusu hili?

Mmmmhh hebu nieleweshe na mimi ninufaike maana mi job seeker sugu
 
Address hiyo hapo ni utumishi wa uma pale karibu na ikulu tapata maelekezo yote

Kweli unategemea nitoke huku Yaeda niende mpaka ikulu.........wakati wewe mtani wangu upo pua na Uso.........inawezekana......?.......hebu nenda hapo kaniletee huo mchakato bana..........
 
Kweli unategemea nitoke huku Yaeda niende mpaka ikulu.........wakati wewe mtani wangu upo pua na Uso.........inawezekana......?.......hebu nenda hapo kaniletee huo mchakato bana..........

Yaeda ndio wapi huko mtani? Tajitahidi kupata habari zaidi kwa faida ya wengi
 
Address hiyo hapo ni utumishi wa uma pale karibu na ikulu tapata maelekezo yote
tusaidie basi Mkuu maana wewe mwenyei wa mtaa huo wa Baraka Obama,
je wanakopesha ? mm ni ada tu ya mwanangu na kamkoko kangu kanadaiwa Bima
nakaa Dodoma na Milimani Usangi sasa kuja huko kazi maana nafahamu Ubungo Terminal zaidiya hapo ntapotea kufika
 
foundation binafsi ina nembo ya serikali!!!!
 
TAARIFA KWA UMMA
Benki Kuu inapenda
kuutahadharisha umma
kuwa katika siku za karibuni
kumekuwepo na mtandao
wa
matapeli unaotumia TOVUTI
ifuatayo Wapka.mobi.
Mtandao huo unajidai kuwa
ni Taasisi ya Fedha
ijulikanayo kwa jina la Jakaya
foundation ambayo
inamilikiwa na Benki Kuu
chini ya utawala wa bodi
kuu ya mikopo inayotolewa
na serikali kupitia
sekretariat ya Utumishi wa
umma ofisi ya Rais.
Matapeli hao wanaeleza
kwamba Taasisi hiyo inatoa
mikopo ndani ya masaa 24
kwa Mtanzania yeyote
mwenye umri kuanzia miaka
18 endapo atajiunga kwa
kulipa ada ya shilingi
37,000/=.
BENKI KUU INAUARIFU
UMMA KUWA HAIITAMBUI
NA WALA HAIHUSIANI KWA
NAMNA YOYOTE ILE
NA TAASISI INAYOELEZWA
KWENYE TOVUTI HIYO.
Kwa taarifa hii, Benki Kuu
inatoa tahadhari kwa
Wananchi kutojihusisha na
Taasisi hiyo ya kitapeli kwa
ajili ya kupata huduma za
mikopo kama ambavyo
inadai.
IMETOLEWA NA IDARA YA
UHUSIANO NA ITIFAKI
BENKI KUU YA TANZANIA
DAR ES SALAAM.
29/5/2013 ...........matAPELI
HAO
 

CC: Preta, Honey Faith, Khantwe, naiman64 etc
 
Last edited by a moderator:
Ninapopoiona hii kitu napata hasira kali sana

Kama jina la rais linaweza kutumika kutapeli kiasi hiki na bado akakaaa kimya basi tatizo lipo tena kubwa sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…