Wangapi wanaamini Mobutu alikuwa Rais mbaya?

Siyo sahihi kusema Mobutu alivyokuwa madarakani nchi ilikuwa na amani. Wakongo walichapana miaka ya 1977 na 1978 na tena mwaka 1997.
 
We wazaire uliwauliza lini na wapi. Watz ndio maana mnadharaulika ni mapoyoyo bila ukweli.
 
Nakumbuka ID yako ya zamani Lucas Mobotu kama sikosei na tumefaidika humu na nyuzi zako nyingi za kihistoria barikiwa mkuu kea nondoz zako.
 
Mobutu aliabudiwa kama Mungu. The saviour and creator. Pia yeye ndiye aliruhusu wanajeshi waende kupora eastern congo.

Jamaa alikuwa anapenda misifa na anasa sana, chini kaweka ngozi ya chuo kukanyagia na machawa pembeni wanaimba na kumsifu .

Nguvu na tambo zote za mwanadamu zinaisha wakati karibia na umauti yaani mtu anakuwa mdogo sana mali ,watu ,utajiri na majeshi hayana msaada tena unabaki na mawazo ya kupambania uhai tu.
 
Amini hakutwaa Kagera nzima, alitwaa kipande kutoka mtukula hadi mto Kagera, na wanajeshi wake kuua na kubaka na kupora wananchi
Sasa hapo Nyerere alikuwa na option gani?
 
Hao wengine wanaweza kuwa kweli ila kwa JP ondoa huo upumbavu ulioandika. Hatusimuliwi tuliona uongozi wa huyu mtu. Hakuwa mtu kabisa
 
Amini hakutwaa Kagera nzima, alitwaa kipande kutoka mtukula hadi mto Kagera, na wanajeshi wake kuua na kubaka na kupora wananchi
Sasa hapo Nyerere alikuwa na option gani?
Ulikua na miaka mingapi?
 
Kumbe na mimi ni mzungu,maana nilumchukia magufuli
Ulidanganywa na propaganda zao, Hata Lumumba hakuuawa na wazungu, ni weusi wenzie walimchinja, Saddam Hussein ni waarabu walimuua, Ghadafi walibia wenzie walimdhalilisha kwa kumuingizia vijititi nyuma huju wakimtembeza barabarani, mwisho kumuua, huwezi kumuona mzungu pale.

Hutaona beberu akimtukana Magufuri, ni hawahawa aliowajengea barabara, madaraja, umeme wa 27,000, vituo vya afya kila Kona ya nchi, ni Hawa aliojitoa kupambana na majambazi, magaidi ya kibiti hadi nchi ikatulia, wanashangilia kifo chake
 
Jp hakuwa mtu Acha ujinga
 
JPM huyo alikuwa ovyo muhuni tu
 
Mara nyingi kifo chako kinathibitisha wewe ulikuwa ni kiongozi wa aina gani. Mobutu alizikwa na watu wanane tu tena Morocco mbali kabisa na Zaire nchi aliyoiongoza kwa miaka mingi.

JPM alizikwa na mamilioni wa watanzania tena wakilikimbiza gari lililobeba mwili kila lilipopita, wengine kinamama wakaweka kanga zao njiani kumuaga.

Mobutu alikuw ana sifa zote za usaliti kwa umaskini wa mwananchi mmoja mmoja wa Zaire
 
Mobutu aliabudiwa kama Mungu. The saviour and creator. Pia yeye ndiye aliruhusu wanajeshi waende kupora eastern congo.

Mkuu achana na huyo taahira alieleta huu uzi. Ni mpumbavu flani hivi asiejitambua. Na huenda ni mataga
 
Huyo ni mzee wa ovyo achana nae. Huwa anatafuta nyuzi zenye mrengo kama aliokwisha andika huko nyuma na kuupa validity hata kama ni wa ovyo ili aonekane ni mwandishi mwenye maono kumbe ni mpuuzi tu!
 
Unakuwa chawa mpaka wa Marehemu? Kiongozi aliyefikia kufanya starehe za kufuru mpaka anaagiza wapishi toka France kwenye harusi ya bintiye Kwa gharama ya serikali bado unamtetea?
 
Mamilioni wapi? Watu walienda kushangaa tu mizinga si unajua ushamba wa wa tz? Kiufupi mwamba hakuwa mtu kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…