Idd Amin alikuwa mtu powa sana aliyependa utani kama General Muhozi alivo sasa, na alikuwa mwehu kiasi fulani,mfano,alimuambia "Mwalimu"Ukifuatilia vizur,
1. Ukana Jinsi Wazungu wanavojitahidi kumchafua Putin
2. Afu ukaangalia jinsi gadafi na sadam walivouwawa kwa visingizio lukuki
3 Afu ukaona jinsi magufuli alivochukiwa na wazungu mpk anaingia kaburini
Hapo Ndo utaamini
Wale wengi tulioaminishwa kwamba Ni madikteta na magaidi hata aikua kweli.
Huenda Mobutu, idi Amin, Osama na wengine hawakua watu wabaya Kama tulivyoaminishwa
Kwa hiyo unataka tuambia kichapo alichopewa Idd Amin ilikuwa ni maelekezo aliyopewa NYERERE na mabeberu wa Ulaya ama. Emu tueleze aseeeIdd Amin alikuwa mtu powa sana aliyependa utani kama General Muhozi alivo sasa, na alikuwa mwehu kiasi fulani,mfano,alimuambia "Mwalimu" laiti kama isingekua mvi zake basi angemuoa
Ile vita mabeberu hawakuhusika sana, Nyerere aliwafadhili kina Museveni wakawa wanavamia UG, Idd Amin akawafukuza watanzania,wakenya kuondoka UG,hivo basi chanzo kilikuwa ni Amin kukerwa na Nyerere kuwa sponsor maadui zakeKwa hiyo unataka tuambia kichapo alichopewa Idd Amin ilikuwa ni maelekezo aliyopewa NYERERE na mabeberu wa Ulaya ama. Emu tueleze aseee
Jiwe alikuwa hafai dhahiri,Ukifuatilia vizur,
1. Ukana Jinsi Wazungu wanavojitahidi kumchafua Putin
2. Afu ukaangalia jinsi gadafi na sadam walivouwawa kwa visingizio lukuki
3 Afu ukaona jinsi magufuli alivochukiwa na wazungu mpk anaingia kaburini
Hapo Ndo utaamini
Wale wengi tulioaminishwa kwamba Ni madikteta na magaidi hata aikua kweli.
Huenda Mobutu, idi Amin, Osama na wengine hawakua watu wabaya Kama tulivyoaminishwa
Ukifuatilia vizur,

Madkiteta wote duniani wanawafuasi wakutosha kumbuka dunia Toka iumbwe haijawahi pungukiwa na machizi
Ukifuatilia vizur,
1. Ukana Jinsi Wazungu wanavojitahidi kumchafua Putin
2. Afu ukaangalia jinsi gadafi na sadam walivouwawa kwa visingizio lukuki
3 Afu ukaona jinsi magufuli alivochukiwa na wazungu mpk anaingia kaburini
Hapo Ndo utaamini
Wale wengi tulioaminishwa kwamba Ni madikteta na magaidi hata aikua kweli.
Huenda Mobutu, idi Amin, Osama na wengine hawakua watu wabaya Kama tulivyoaminishwa
Rafiki yake pia Lumumba ndie aliemuingiza Mobutu kwenye game ya siasa walipokutana huko ughaibuni, kingine Mobutu aliwekwa pale kwa msaada wa hao hao "mabeberu" pia usisahau kuhusu matumizi yake mabaya ya pesa palace alizojenga, benz convoy, concord..n.kMobotu alimuua mtangulizi wake Patrice Lumumba na huo ndiyo ubaya mkubwa kabisa alioufanya
Na huo ndio ukweli Ambao wengi hawaujui au hawataki kujua.Ile vita mabeberu hawakuhusika sana, Nyerere aliwafadhili kina Museveni wakawa wanavamia UG, Idd Amin akawafukuza watanzania,wakenya kuondoka UG,hivo basi chanzo kilikuwa ni Amin kukerwa na Nyerere kuwa sponsor maadui zake
Nyerere alikubaliana na waganda wamlipe gharama alizotumiakumtoa Amin lakini hata hivo serikali ya Kikwete ilisamehe hilo deni sababu UG ilishindwa kulipa
Mobutu ndiye aliyeleta stabilityHuyo jamaa alichukua nchi ikiwa kwenye vita, hakukuwa hata na wasomi 10 wa chuo kikuu,
Juzi mke wake kasimulia kifo chake, ma dokta walimwambia hutoboi ,unakufa ,maneno yake ya mwisho kuongea ni "pardon" akimuomba msamaha mkewe
Zaire (sasa Congo). Baada tu ya uhuru kulikuwa machafuko na kutokuelewana kati ys rais wa wakati huo Kasavumbu na waziti mkuu Lumumba; hata baada yz kuuawa Lumumba bado Zaire haikutulia hadi Jenerali
Mkuu kwisha , kiukweli kabisa, mabeberu ni watu wabaya sana!, angalia Iraq, kosa la Saadam ni utajiri wa mafuta!. Angalia Libya, kosa la Ghadafi ni kutaka kuwaunganisha wa Afrika tuunde USAf, japo US ndio the richest continent in terms of GDP, Africa ndio the richest continent in terms of resources na kuwa the poorest kwasababu wana plunders!. Ghadaf akashauri tuanzisha AfMF tuachane na IMF, tuanzishe AfB tuachane na WB, aliisha pandisha satelite tuachane na ITU, jamaa wakaamua he had to go!.Watu tuliaminishwa na watu wengine kuwa mobutu alikuwa raisi mbaya saana na yeye ndo chanzo cha vurugo za Kongo
Mwaka 1985 mobutu alikuwa anafanya interview na radio kutoka Ufaransa
Kuna maswali ambayo aliulizwa
Alisema kuwa kama zaire future yake itakuwa mbaya ni kwasababu ya wabeljiji na Wafaransa pamoja na wa Marekani maana ao ndo wana mpango wa kuaribu zaire ila kama mimi nipo madarakani icho kitu hakiwezi kutokea kamwe
Mobutu aliwahi kusema kama wewe ni muoga huwezi kuongoza zaire
Kuna siri kubwa hapa kati kati ya wazungu na mobutu
Kumbe na mimi ni mzungu,maana nilumchukia magufuliUkifuatilia vizur,