Wangapi tumetumia hii kitu kusomea majumbani kwetu

Wangapi tumetumia hii kitu kusomea majumbani kwetu

The Initiator huru

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
2,327
Reaction score
3,203
1587046120009.png

Kizazi hiki vijana wadogo wa Daslam wanaweza kusema ni bomu.
Ila maisha yanaenda kasi sana nakumbuka enzi hizo utambi unatafuta kanga chakavu.
 
View attachment 1420890
Kizazi hiki vijana wadogo wa Daslam wanaweza kusema ni bomu.
Ila maisha yanaenda kasi sana nakumbuka enzi hizo utambi unatafuta kanga chakavu.
Hii kitu siwez isahau

Aloo kidogo nichome nyumba siku moja alafu nyumba ya nyasi

Nlikua nakijaza mafuta uku kinawaka Dah

#Stayhome safe COVID-19 is everywhere
 
Nimeitumia sana kulipiza visasi vyangu utotoni. Mwanafamilia akinizingua mchana nikataka kumbonda wazazi wakaingilia nilikuwa nategea usiku tunasoma au tunakula nakapuliza kakizimika tu mbaya wangu anakula konzi moja kubwa sana😀😆
 
Dah.. Nikajua unatuletea App
Ya vijana kujisomea home wakati huu wa Corona.
 
Siku hizi mpaka vijijini kuna umeme wa REA japo sio vijiji vyote..bado kuna ambao wanatumia hii kitu.
 
Back
Top Bottom