Wangapi mna moyo Kama huyu dada?

Yaani umeliona hilo tu? Ndoa ni zaidi ya hivo ukute very responsible,anajali na mengi mazuri.....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Hakuna kitu kama hiko ndugu
 
Hapa Tz hawapo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hii haihitaji moyo, inahitaji mapenzi kutoka pande zote mbili. Mwanaume yeyote anaejitambua, mwenye akili, mwenye mapenzi na alie na mtazamo chanya wa maisha anapendeka tu.


Si kwa mademu wa kibongo, we unaongea tu.
 

You have said it well!

Disability is not Inability!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…