Nataka kuvunja record kupitia huu mlima.
Hivi kuna mtu amewahi kupanda kifua wazi?
Je nitaruhusiwa?
Baridi la kileleni ni nyuzi joto ngapi?
Or any ideas zakuniwezesha kuvunja record.
Umejitahidi kaka.
Record nyingine hazitaleta maana kama utajihatarisha maisha yako.
Badiri kileleni ni -10 celcius. Una kifua cha aina gani cha kuzuia hiyo baridi?
Nataka kuvunja record kupitia huu mlima.
Hivi kuna mtu amewahi kupanda kifua wazi?
Je nitaruhusiwa?
Baridi la kileleni ni nyuzi joto ngapi?
Or any ideas zakuniwezesha kuvunja record.
From there kwenda Uhuru peak ilikuwa mbinde...nikaona nisije kufa bure nikaishia hapo. Of course tulikuwa group, wenzetu wachache walifika peak!
May be 2019 naweza jaribu tena!
Nilitumia njia ya kilema - maua mwaka 2005 wakati nipo o'level tukarudi kwa njia ya marangu getini.
Ilikuwa njia ndefu sana wakati wa kwenda kwasababu unafika Horombo huts badala ya Mandara.
Safiari ya masaa 12 kwa kutembea. Kesho yake tukaenda kulala kibo huts then usiku tukapanda kileleni na tukarudi kulala horombo huts. Siku inayofuata toka horombo hadi marangu getini.
It was a very bad experience kwa sababu tulienda kama wanajeshi. Ila natamani kwenda tena kama mtalii sasa.
si utakuwa ushakuwa Babu?
Muache akafe, anafikiri mchezo kule!
Kuna mzungu wa Russia alikuja akajifanya mjanja eti baridi ile haigopi...alikufa fasta!
Niluenda na kundi la wanafunzi.
Nilikuwa 10th grader.
Sisi tulitembea pole pole kwa kuwa walitaka kwanza tuzoe hali ya kuishi katika mlima (to climatize).
Oxygen huwa inapungua ukiwa mlimani.
Marangu ni full starehe. Huts na maji ya kumwaga. Chakula kizuri na chai ya moto. Hatujapata shida yoyote.
Kwenye kundi letu tulienda na baadhi ya raia wa uswizz.
Wote walibebwa kurudisha hata kona ya wahindi hawakufika.
Hivi logic ya kutoenda mchana ni nini mkuu?
Nyie mlienda kama watalii wa nje. Ndio maana hamkupata shida.
Hivi logic ya kutoenda mchana ni nini mkuu?