Wangapi hatujawahi kuchepuka katika mahusiano yetu?

Wanawake wana akili bhana.....check jinsi habari ilivyoletwa.
 
 
Sasa unaanzaje kwenda straight ilihali barabara zenyewe zina mabango ya "Diversion ahead"???
 
bahati mbaya waliotulia kweli ndo wanapata vipanga balaa.
 
Mim sijawah kuchepuka kwani sio tabia nzuri japokuwa huwa nashawishiwa ila namshukuru mungu huwa nadhinda majaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…