Wangapi hapa mlisoma hii...?

Duh! Kumbe humu ukumbini vijana mna-dominate! Dada Preta (na wengine wa enzi hizo), naomba waambie hawa vijana asili ya hii kitu!
 
bulicheka,wagagagigikoo, mpiga filimbi wa hamelini,hadithi za alinacha,abunuwasi,alfulela ulela baadae kidogo tulipokuwa....things fall apart,okot p'wiwek,the river between na ukipata spare time unatulia na james hadley chase......tumetoka mbali jamani.
Hadi chuo kikuu bishanga natumia slide rule na zile algorithms.
 
Tulikisoma hiki miaka ya 60. Nadhani humu ndio kuna ile habari ya Bulicheka, Lizabeta na Wagagagigikoko! Kitabu hiki naweza kukipata wapi?

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2
 
Mambo matamu ya zamani
Pinokyo
Abunuwasi
robinson Kruso
Alfu Lela ulela
allan quaterman
 
Tulikisoma hiki miaka ya 60. Nadhani humu ndio kuna ile habari ya Bulicheka, Lizabeta na Wagagagigikoko! Kitabu hiki naweza kukipata wapi?

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2

Nikikipata nitakushtua
 
Tulikisoma hiki miaka ya 60. Nadhani humu ndio kuna ile habari ya Bulicheka, Lizabeta na Wagagagigikoko! Kitabu hiki naweza kukipata wapi?

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2

Haiwezekani....!!!
60's???
Hapana.
 
Nakumbuka enzi hizo mama yangu mdogo alikuwa anatusomea hizo hadithi wakati huo nilikuwa nafurahia hiyo michoro ya Makari na fimbo yake. Cha kushangaza ni kwamba huo wimbo ninaufahau hadi leo! Old is Gold!
 
Jamaniiiiiiiii hii imenisisimua na kunitoa kichozi cha pembeni....
Them good old days...daaamn.
Ah...jamaniiiiiiiii
 
Mambo matamu ya zamani
Pinokyo
Abunuwasi
robinson Kruso
Alfu Lela ulela
allan quaterman
Inkoskaz...robinson crusoe si ndo yule alikua msafiri au??! Akakutana sijui na watu wadogooooo then akakutana na ma giant....
Nimemiss such books aisee....
Natamani nirudi utotoni tena.
 
Last edited by a moderator:
Hivi vitabu kuna wakati nilivikutaga pale Dar-es-Salaam book shop, sijui kama bado vinapatikana tena. Ila hizi hadithi zilikuwa na mafunzo mno! Kama vingeelea kutumika hiki kizazi cha dot com kisingekuwa kama kilivyo sasa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…