Eng Kimox Kimokole
JF-Expert Member
- Jun 9, 2010
- 1,041
- 772
Mkuu kwa jinsi mimi nisivyo zipenda ndevu, ingenitokea hakika ningeshukuru sana!! Anyway, pole sana kwavile wewe unazihitaji na zimenyolewa bila ya ridhaa yako.
Jamani anayejua jawabu la tatizo hili amsaidie...
labda mkeo alitaka kukufanyia sapraiz akakunyoa.....shauri ya imani yako haba unadhani umenyolewa na mchawi...hakunaga hivo vitu
Ujue kile unachokiamini kinaweza kukutokea katika maisha. Kama daima umekuwa na wasiwasi wa kulogwa au kutendewa ushirikina na mtu, basi hayo ndo matokeo yake. Mategemeo/matarajio yako yamei-convince nafsi yako yote mpaka imeweza kukuathiri physically. Ni matokeo ya kisaikolojia kuliko uhalisia. Kwa maneno mengine wewe mwenywe 'umejinyoa' ndevu kwa imani yako mwenyewe kwa vile nafsi yako daima imelilia matokeo hayo. Hakuna cha mchawi.
Hujanielewa katika bandiko langu. Rudia kusoma tena. Sidhani kama ni gumu japo ni la kisaikolojia/ kifalsafa kidogo na kiimani.Sikujinyoa kaka na huwa siweki wembe chumbani na nalala peke yangu, daima huwa nanyoa Saluni za kiume
sasa hii fasheni yangu ya ndevu imekuwa haikai vyema tena, mpaka naona aibu
Msaada tafadhali wana JF
Hujanielewa katika bandiko langu. Rudia kusoma tena. Sidhani kama ni gumu japo ni la kisaikolojia/ kifalsafa kidogo na kiimani.
Usikimbilie kufikiri kuna vigagula vimekutembelea!Sikujinyoa kaka na huwa siweki wembe chumbani na nalala peke yangu, daima huwa nanyoa Saluni za kiume
sasa hii fasheni yangu ya ndevu imekuwa haikai vyema tena, mpaka naona aibu
Msaada tafadhali wana JF
sijaelewa.... ndevu imenyolewa, tena hazioti...Jamani nina tatizo kubwa kweli naombeni msaada kama kuna anayejua namna ya kutatua;
Ni hivi, mwezi wa tatu mwaka huu 2010 jumamosi moja niliamka asubuhi na kukuta sehemu ya ndevu zangu imenyolewa tena kipara hasa kinafanya kuwaka, nikajishangaa kwelikweli maana sijawahi kupata kisa kama hiki kabla.
Sasa huu ni mwezi wa saba unaisha ndevu hazijaota, nifanyeje ndevu ziote jamani mwenzenu!!!!
Msaada tafadhali wana JF.
:twitch:
Kijana maisha yako yapo vibaya fanya uwahi wataalamu haraka.
unawahitaji nikuelekeze?