Totos Boss
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 5,456
- 1,569
Watu wanapiga hatua mbele kimaendeleo sisi tunarudi nyuma
hata hayo mambo wao ndio wa kwanza kauamini !
Jiulize kule Kanisani ni kwa nini wanao tolewa mapepo 90% ni wanawake ?
Mkuu umenikumbusha mbali usemi huu upo kwenye hesabu za function na relation tulikuwa tunasema ''all Sangas are Kingas but not all Kingas are Sangas.
hivi kuna watu bado wanafanya haya mambo?