Wanga Bado Wapo

Wanga Bado Wapo

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
11.jpg
Huyu ndiye mwanamke aliyekamatwa hivi karibuni akikiwangia kivulana cha miaka 9 huko Tegeta, Umeshawahi ona mwanga wa kiume?
 
mara zote ninazoshuhudia kukamatwa kwa wanga, huwa wanakuwa ni kina mama...kulikoni???
 
unakusudia kina mama au wanawake? maana si wanawake wote ni akina mama bali akina mama wote ni wanawake

Mkuu umenikumbusha mbali usemi huu upo kwenye hesabu za function na relation tulikuwa tunasema ''all Sangas are Kingas but not all Kingas are Sangas.
 
Mkuu umenikumbusha mbali usemi huu upo kwenye hesabu za function na relation tulikuwa tunasema ''all Sangas are Kingas but not all Kingas are Sangas.
nilikua naupenda sana huu usemi
 
mvhawi.jpg
hivi kwani shetani alikua mwanamke au mwanaume?
 
download (2).jpg
wanawake kila kona ya uchawi, why?
 
Back
Top Bottom