PreGE2025 Wanenguaji waja na amka na mama Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
JW chonde chonde ajitokeze Traore mmoja aokoe jahazi.
Ukiona ngoma yavuma sana......... Nakuhakikishia Samia atakuja kuanguka vibaya sana halafu kila mtu atabaki kujiuliza na kushangaa akikumbuka hiki kipindi. Siyo lazima aanguke kwenye huu uchaguzi ila hata baada ya kipindi chake cha uongozi, rais atakayefuatia, ataanika madudu yake na amweke hali mbaya sana yeye na watu wake wa karibu.
 
wadangaji nao waja na tamasha la wadanganji wa samia
 
Wanenguaji wa mama
 
TAKATAKA! SHIT HOLE
 
Naona Maza anatumia nguvu nyingi kujinadi! Kwani hao dancers watamfanya Maza ajulikane zaidi ya ambavyo anajulikana kwa sasa?
 
Naona Maza anatumia nguvu nyingi kujinadi! Kwani hao dancers watamfanya Maza ajulikane zaidi ya ambavyo anajulikana kwa sasa?
 
Hivi wana akili timamu hao! wanamkatikia mama yao!
 
Hivi wana akili timamu hao! wanamkatikia mama yao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…