PreGE2025 Wanenguaji waja na amka na mama Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,955
Reaction score
6,691
Uchawa wa viwango unaendelea!

Mapema Leo Wanenguaji (dancer’s) Kutoka Bendi Mbalimbali Tanzania Wakiwakilishwa Na Amka Dance’s Wametambulisha Kampeni Yao Mpya Inayokwenda Kwa Jina La AMKA NA SAMIA

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wakiongea Na Waandishi Wa Habari Wanenguaji Hao Wamesema Lengo La Kampeni Hiyo Ni Kusupport Yale Mema Yanayofanywa Na Serikali Kupitia Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mh SAMIA SULUHU HASSAN Na Rais Wa Zanzibar Na Mwenyekiti Wa Baraza La Mapinduzi Taifa Dr HUSSEIN MWINYI

DANCER’S Hao Wamesema Wao Ni Mashuhuda Jinsi Ambavyo Rais SAMIA SULUHU Na Dr HUSSEIN MWINYI Wamefanya Kazi Kubwa Kuboresha Nchi Kwenye Sekta Mbalimbali Ikiwemo Afya,Elimu Miundo Mbinu Ya Barabara N.k

Your browser is not able to display this video.
 
Hawa ndio wale Upinde? waki wangapi nchi nzima? wanafikia 1,000,000?
 
Unaamka na Samia, wangeanza kwanza na lala na Samia halafu ndo ije amka na Samia.
 
Tuna witness the degradation of society ya mtanzania. Mambo gani haya ya kijinaa😂
 
Wangeanza kulala naye kabla haujaamka naye, saa unaamkaje na mtu hukulala naye?
 
hiki kipindi hakika ni cha uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…