WATU wawili wakazi wa Mwananyamala jijini Dar es Salaam, wamejeruhiwa katika tukio lililohusisha risasi za moto linalodaiwa kufanywa na Askari Polisi baada ya kukutwa wakikesha kwenye ngoma za wanenguaji maarufu 'Kanga moko', ambazo tayari zimepigwa marufuku na Jeshi la Polisi nchini. Aidha, taarifa zimesema kuwa tukio hilo lilitokea jana Juni 18, 2014 saa kumi na nusu jioni katika eneo la Shule ya Msingi Kisiwani ambapo FikraPevu imejulishwa...
See more at: Fikra Pevu | Kisima cha busara!
harusi gabi hiyo j5?
harusi gabi hiyo j5?
Hawa stripers wabongo.. namuonea huruma huyo aliyepigwa risasi ya makalio duuh
Afadhali yaani siwapendi kama nini
harusi ya kigodoro ni siku yoyote ila kova alipiga marufuku!
kule ununio walikuwa wanacheza uchi kabisa!
Afadhali yaani siwapendi kama nini