Wanene kuongezewa marupurupu

Nakubaliana nawe Rwabugiri lakini bado nasisitiza kwamba haifai kujenga hoja juu ya msingi mbovu. Hilo sahihisho la uongo alilolitoa ndilo alilotumia kujengea hoja yake. Bora angesubiri kwanza jibu akishapata uhakika ndipo aendelee na hoja yake.
 
:eyebrows: duu watu wana kula bata c mchezo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mbali na kuzikata hizo oc huku h/w wala hata hizo zilizopitishwa haziji na watu wamekaa wanasubiri rais achaguliwe labda ndo zitaanza kuflow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…