mtamanyali
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,161
- 616
[h=5]jamaa amekaa jikoni na mke wake.. Mke
katoka kidogo jamaa akadokoa nyama
jikoni, kwa bahati mbaya nyama
ikamkwama kooni... Katika harakati za
kujiokoa ghafla mke akatoke. Mke
akamuuliza jamaa... "vipi mme wangu
mbona umetoa macho hivyo"... Jamaa
kuua soo akajibu "Nakutisha"
[/h]
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !
Near by Chimala Mbeya.
Hivi we mtu bado upo!?? nikadhanigi network ndo ilikataga mazima...
[h=5]jamaa amekaa jikoni na mke wake.. Mke
katoka kidogo jamaa akadokoa nyama
jikoni, kwa bahati mbaya nyama
ikamkwama kooni... Katika harakati za
kujiokoa ghafla mke akatoke. Mke
akamuuliza jamaa... "vipi mme wangu
mbona umetoa macho hivyo"... Jamaa
kuua soo akajibu "Nakutisha"
[/h]