CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 930
nani kashinda jana???
chelsea alifungwa mabao 3-1.
Kaka kwa timu ile,ndio bac tena,kwani uwezekano kwa kumfunga bao 2-0 ni mgumu,wale vijana nuksi!Poa mkuu!
Ngoja nikapige laga sasa!maana nina machungu sana.
Kaka kwa timu ile,ndio bac tena,kwani uwezekano kwa kumfunga bao 2-0 ni mgumu,wale vijana nuksi!
Unazidi kuniua mkuu!!!ishiiiiiiiiii.ishia hapo hapo.Hatuna timu uwiiii!