Wandugu Inakuaje Hii. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wandugu Inakuaje Hii.

Discussion in 'JF Doctor' started by Mateka, Jan 13, 2012.

 1. M

  Mateka Senior Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 132
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kuna dogo wangu nimemcheki analalamika Tests yake moja imeingia kwa ndani luliko nyingine halafu tumbo linamuuma hii imekaaje?
   
 2. U

  UNIQUE Senior Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  HIYO NI HATARI ILIYOKAA NDANI HAITAKAA ITOE MBEGU. AENDE WAISHUSHE CHINI. KAMA ZOTE ZIKO JUU HUYO HATAZAA MAISHA. NDIYO MAANA MTOTO WA KIUME AKIZALIWA TUU ANGALIA KAMA ZIMESHUKA. KAMA LA NDANI YA MWEZI INTTAKIWA AFANYIWE OPERATION YA KUZISHUSHA. Testicles zinahitaji joto chini ya lile la kawaida la mwili. hii ni serious. KUNA WATU HAWAJUI HILI MPAKA WANKUWA WAKUBWA HAWAONI TESTICLES ZAO WAKIDHANI KUNA SIKU ZITASHUKA ZENYEWE. HAKUNA NA KUZAA NDIYO SORRY
   
Loading...