Wanazungumza lugha za Shona, Oromo na Ndebele

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,603
Wadau,
Wanahitajika watu wanaozungumza kugha hizo kwa ajili ya mradi wa tafsiri.
Kama wewe ni mmoja wapo au unamjua mtu anayezungumz alugha hizo tafadhali Ni PM au nitumie ujumbe kwa kutumia barua pepe hii: farsiy@yahoo.co.uk.

Natanguliza shukurani za dhati.
 
Back
Top Bottom