package ya wapi hiyo aiseee? mtani embu nipe location nimepata kiu
kiu kazini asee... angalia usije haribu mambo!!!
package ya wapi hiyo aiseee? mtani embu nipe location nimepata kiu
hhahahahaa! Nilijua tu,, hapo mate yanakutoka
yani mpaka natamani mda ufike
lakn jana nilikwambia sasa hivi mm haa
package ya wapi hiyo aiseee? mtani embu nipe location nimepata kiu
Mitaa ya kwetu hiyo miss chagga karibu sana
a.k.a Kinana Bariidi...!@tusker bariiidi