Anataka mtoto yaan kakosa mwanamke wa kumtia mimba, tatizo la akili lipo sanaPole Sana mkuu. Tulia utuandikie vizuri tuone namna ya kukusaidia.
Aseme kwanza amepugwa na nani na huyo mwanamke baunsa aliehisi kamzalisha kumbe hajawahi kumzalisha?Mkuu tuliza mzuka. Lock up si pa kukubabaisha hivyo. Relax uandike upya