Wanazengo Wanawake wanahitaji maneno matamu angalia hii

Wanazengo Wanawake wanahitaji maneno matamu angalia hii

Kikubwa hela mzeee swaga izo zilipendwa 1989 ukoo
 
Bro hii ni 2020...!!
Wanawake hawapendi maneno mengi
Wanawake wanataka straight point
Wanawake wanataka future
Wanwake wanataka malengo
Wanawake wanapenda suprise
Wanawake wanapenda zawadi

Na usisahau kuwa mapenzi na pesa ni vitu vinavyoend sambamba nowdays

Jitahidi kubadilika...!!
 
UNAPO-CHAT NA GIRLFRIEND WAKO KWA STAILI HII:

WEWE: Oya!

YEYE: Nambie!

WEWE: mzima!

YEYE: Mi mzima ww je?

WEWE: Niko poa

YEYE: Ok

KUNA JAMAA MWINGINE YUKO ONLINE ANA-CHAT NA MSICHANA HUYO HUYO KWA STAILI HII:

JAMAA: Mambo vipi mrembo?

MSICHANA: poa mzima wewe?

JAMAA: mi niko poa kabisa halafu ninapopata bahati ya ku-chat na wewe hata kama nilikuwa najisia hovyo afya yangu huimarika ghafla.

MSICHANA: mh! Kivipi yani?

JAMAA: Uzuri wako tu kwangu ni dawa tosha.
Sio siri mungu kakupendelea sana rafiki yangu.

MSICHANA: Dah! Yaani rafiki yangu huishi kunifurahisha asubuhi yote hii ushaanza kunipamba.Ujue maneno yako yatanifanya niringe wakati sistahili.

JAMAA: Hapana unastahili kabisa kuringa wangu!
kweli wewe ni mzuri wala sio uongo ila sema tu wewe hujioni.

MSICHANA: Mh! Sawa bana asante.

JAMAA: Ila wangu ujue nini? Uongo mbaya mi nakupenda Sipati picha ni furaha kiasi gani nitakuwa nayo pale utakaponifanya mwenye bahati ukaamua kunipa nafasi ya kuwa na wewe.


MSICHANA: Hapana wangu mi tayari nipo kwenye mahusiano ila ukweli ni kwamba huwa najisikia furaha sana pale ninapo-chat na wewe.


JAMAA: Unastahili kuwa na furaha malaika wangu! Kwasasa wacha nikutakie siku njema.
Nataka nifanye kazi moja hivi ntakustua baadae.

MSICHANA: Asante sweetie! ntakumiss muda ambao hautakuwepo hewani
so usikawie kurudi online sawa eh?
__________________________________________
Unaweza kusema "huyu mwanamke ni cheap analainishwa kwa maneno tu"!


Lakini ukweli ni kwamba wanawake kwa ujumla wapo hivyo. Siku zote wanapenda kusikia maneno matamu kutoka kwa wapenzi wao:

Wakati mwingine unaweza kujikuta una pesa na ni mtaalamu wa kuhonga lakini bado mpenzi wako akachukuliwa na jamaa asiyekuwa na pesa kisa maneno laini laini.

Hivyo basi epuka kuzungumza/ku-chat na mpenzi wako kana kwamba una-chat na mshkaji wako wa kijiweni.

Huyo ni mwanamke unapaswa kumbembeleza la sivyo atachukuliwa na wanaojua kunyenyekea.
Mwisho naomba nikwambie moja katika ya mistake kubwa ambazo hupaswi kufanya ktk mahusiano nikuacha mwanya mshkaji mwingine akachukua nafasi ya kumfurahisha mpenzi wako.
Nadhani imeeleweka.

Povu ruksa
Tafuta pesa broo
 
Samaki bila chumvi haliki mkuu ,pesa ndio chumvi mkuu maneno matupu ni kazi bure kwa kizazi cha leo
 
Kama huna hela hayo mameseji yako yote ni takataka tu na kuchosha vidole
Kuna mwenzako maneno machache "upo wapi njoo" kamaliza
 
Endelea kuweka mpunga ambao anaenda kupewa mwenye maneno matamu

Sponsor huwa hana cha kupoteza,,, as long as umetoa hela na huduma unayotaka unapewa.... Haijalishi hio hela atapeleka wapi,,, hata kama atatupa chooni is Ok coz tayari ameshapewa na anachotaka anatimiziwa.
 
Kuna mademu nao wana lugha chafu hatari
Utasikia:

Yeye:Tuma basi hiyo hela we nae
Mimi: Sahizi sina ntakutumia kesho
Yeye: We kila siku huna hela, unakera bwana
Mimi: Na hiyo kesho pia naweza kukosa
Yeye:Nilijua tu mbwa wewe mxieuuuuu...

Type hii ya mademu ni wale unapiga mti mara mojamoja, akija geto hawezi kushauri kitu chochote, wala hawezi kupanga vitu geto, wala usafi wa aina yoyote ile, ukimtia tu utaskia "ile elf kumi uliyoniahidi naitaka"
 
Back
Top Bottom