Wanazengo Wanawake wanahitaji maneno matamu angalia hii

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
4,330
8,420
UNAPO-CHAT NA GIRLFRIEND WAKO KWA STAILI HII:

WEWE: Oya!

YEYE: Nambie!

WEWE: mzima!

YEYE: Mi mzima ww je?

WEWE: Niko poa

YEYE: Ok

KUNA JAMAA MWINGINE YUKO ONLINE ANA-CHAT NA MSICHANA HUYO HUYO KWA STAILI HII:

JAMAA: Mambo vipi mrembo?

MSICHANA: poa mzima wewe?

JAMAA: mi niko poa kabisa halafu ninapopata bahati ya ku-chat na wewe hata kama nilikuwa najisia hovyo afya yangu huimarika ghafla.

MSICHANA: mh! Kivipi yani?

JAMAA: Uzuri wako tu kwangu ni dawa tosha.
Sio siri mungu kakupendelea sana rafiki yangu.

MSICHANA: Dah! Yaani rafiki yangu huishi kunifurahisha asubuhi yote hii ushaanza kunipamba.Ujue maneno yako yatanifanya niringe wakati sistahili.

JAMAA: Hapana unastahili kabisa kuringa wangu!
kweli wewe ni mzuri wala sio uongo ila sema tu wewe hujioni.

MSICHANA: Mh! Sawa bana asante.

JAMAA: Ila wangu ujue nini? Uongo mbaya mi nakupenda Sipati picha ni furaha kiasi gani nitakuwa nayo pale utakaponifanya mwenye bahati ukaamua kunipa nafasi ya kuwa na wewe.

MSICHANA: Hapana wangu mi tayari nipo kwenye mahusiano ila ukweli ni kwamba huwa najisikia furaha sana pale ninapo-chat na wewe.

JAMAA: Unastahili kuwa na furaha malaika wangu! Kwasasa wacha nikutakie siku njema.
Nataka nifanye kazi moja hivi ntakustua baadae.

MSICHANA: Asante sweetie! ntakumiss muda ambao hautakuwepo hewani
so usikawie kurudi online sawa eh?
__________________________________________
Unaweza kusema "huyu mwanamke ni cheap analainishwa kwa maneno tu"!

Lakini ukweli ni kwamba wanawake kwa ujumla wapo hivyo. Siku zote wanapenda kusikia maneno matamu kutoka kwa wapenzi wao:

Wakati mwingine unaweza kujikuta una pesa na ni mtaalamu wa kuhonga lakini bado mpenzi wako akachukuliwa na jamaa asiyekuwa na pesa kisa maneno laini laini.

Hivyo basi epuka kuzungumza/ku-chat na mpenzi wako kana kwamba una-chat na mshkaji wako wa kijiweni.

Huyo ni mwanamke unapaswa kumbembeleza la sivyo atachukuliwa na wanaojua kunyenyekea.
Mwisho naomba nikwambie moja katika ya mistake kubwa ambazo hupaswi kufanya ktk mahusiano nikuacha mwanya mshkaji mwingine akachukua nafasi ya kumfurahisha mpenzi wako.
Nadhani imeeleweka.

Povu ruksa
 
Acha longo longo we sema una sh ngapi - Rah P.
 
Sasa mbona hujui kuchat na mwanamke kabisaaaaa

Chat hizo sio kwa pisi kali ndugu yangu yaani kwa chat hizo ukiopoa demu wewe utakuwa na sura nzuri kuliko yeye,demu hajiamini kabisaa au demu anakupenda kwahiyo hata ujinga ujinga wako huo yeye anaona swaga...

Huyo wa kwanza mhuni sana

Huyo wa pili ana date na wanawake wa kawaida hajawahi kumiliki pisi kama pisi...

Wanawake wazuri wa taste zao bwana,ukimuendea hivyo unaweza hata kula block maana mpo kibao na hizo mbwe mbwe za kumpotezea mda...

Mnakwama wapi vijana mbona kutongoza ni rahisi sana na unaweza hata usimfie mwanamke kabisaaa na bado akakukubali vzr tu
 
We jamaa bhana,kwani mpunga hauishi?

Ukilinganisha hapo kati ya mwenye mpunga na maneno matamu jibu liko wazi kwamba mwenye maneno matamu hana hasara kivile
Point yangu ipo kwenye access; number of options na urahisi wa kumpata demu wa viwango na class zake; mdanganye mwenzio atangulize porojo hizo kwanza hizo hao classic girls anawapata wapi? Ataishia kulambwa block na matusi juu....
 
Sasa mbona hujui kuchat na mwanamke kabisaaaaa

Chat hizo sio kwa pisi kali ndugu yangu yaani kwa chat hizo ukiopoa demu wewe utakuwa na sura nzuri kuliko yeye,demu hajiamini kabisaa au demu anakupenda kwahiyo hata ujinga ujinga wako huo yeye anaona swaga...

Huyo wa kwanza mhuni sana

Huyo wa pili ana date na wanawake wa kawaida hajawahi kumiliki pisi kama pisi...

Wanawake wazuri wa taste zao bwana,ukimuendea hivyo unaweza hata kula block maana mpo kibao na hizo mbwe mbwe za kumpotezea mda...

Mnakwama wapi vijana mbona kutongoza ni rahisi sana na unaweza hata usimfie mwanamke kabisaaa na bado akakukubali vzr tu
ahahaha mkuu umenifurahisha hapo kwenye Pisi kama Pisi
 
Back
Top Bottom