Wanazengo Wanawake wanahitaji maneno matamu angalia hii

Wanazengo Wanawake wanahitaji maneno matamu angalia hii

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku nyingine jitahidi kuficha ujinga wako, ilikuaje we mwerevu mwenye akili ukaanza kuusoma huu uzi? achana na mawazo mgando
watu wanafanya ma ugunduzi ya vitu vikubwa mwisho wa siku wanapata mda wanaweka akili zao sawa kwa vitu mbalimbali hilo nalo linahitaji Shule
Mi kilaza ila bado sjakufikia
 
MI nikishamvua chupi demu kwangu hana maajabu hata asipojibu message yangu hata akigongwa nje naona sawa sina hata wivu ndo Kwanzaa nafukuzia wengine


Hivi kuna mwengine Kama Mimi au ntakuwa na tatizo?
 
watu wanafanya ma ugunduzi ya vitu vikubwa mwisho wa siku wanapata mda wanaweka akili zao sawa kwa vitu mbalimbali hilo nalo linahitaji Shule
Mi kilaza ila bado sjakufikia
wakina Nani wanaofanya ugunduzi wa vitu vikubwa kwanini usiwe wewe mwerevu ? embu wataje hao watu na huo ugunduzi wao'mkubwa
 
Unapata wapi muda wa kuandika hayo yote? Weka mpunga tu utayawakilisha hayo maneno[emoji28][emoji28][emoji28]
Ndiyo huo mpunga anaenda kumgawia mwenye maneno laini wewe katafute tu ulete wazitumie wajuzi!
 
Point yangu ipo kwenye access; number of options na urahisi wa kumpata demu wa viwango na class zake; mdanganye mwenzio atangulize porojo hizo kwanza hizo hao classic girls anawapata wapi? Ataishia kulambwa block na matusi juu....

Urahisi wa kumpata unaweza kuwa kweli kwa baadhi yao,lakini hata hivyo akipata wa kumshawishi kwa maneno utasalitiwa tu...sio kila jinsia ya kike inapatikana kwa pesa
 
Hakuna cha pesa wala maneno mazurii penzi linadondokeaa popote palee.kwahiyo vijana msijisumbuwe. Hayo mengine catalyst tuu.

NB. Hii ni kwa wote wakike na wakiume.
 
Urahisi wa kumpata unaweza kuwa kweli kwa baadhi yao,lakini hata hivyo akipata wa kumshawishi kwa maneno utasalitiwa tu...sio kila jinsia ya kike inapatikana kwa pesa
Hawajiulizi kwanini wenye wenza wao huwaonga wanaume wa nje!
 
Back
Top Bottom