Wanayofanya watoto wenu mashuleni

Wanayofanya watoto wenu mashuleni

Jamaica hiyo, achen ushabiki wa ajabu
 
Kamata chini kamatia chini uuuu... kamata chini kamatia chini
 
Hila hizo nyimbo zinatia stimu,unaweza kuchizika zilivyo kali.
 
Kenya hapo,kamata chini,wimbo uwewapa watoto wa shule mihemko si haba!Wanafunzi,kwa raha zao,wazazi nao,vidonda vya tumbo kwenda mbele!Duh!Mungu wangu eeh!
 
Back
Top Bottom