Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,487
na wewe una mtoto mkuu??Duuh, mbona umentisha kiongozi? Mwenye shule hii lazima tudil nae haraka sana.
AiseeKama namuona Jesicaaa kwa mbali.
Lakini hii siyo Tanzania mkuu sikiliza lugha inayotumika utaamini.Ukiona tu picha hivi huwezi amini haya kama yanatendeka hapa lakini ukijionea unalia. Aiseee niliona shule moja sikuamini, mwalimu mmoja wa kiume ndo alikuwa DJ PELEMENDE SHITUA JOTTI. Ni noma
Punguza mihemko dogo.....wewe ulieleta hii video ndio umejaa minyege!,ulikuwa unatafuta nini huko youtube mpaka ukaikuta hii video?!