WanaYanga Shusheni mapanga yenu chini

WanaYanga Shusheni mapanga yenu chini

Life2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,377
Reaction score
4,847
Siku kadhaa zilizopita kulitokea sintofahamu baada ya chama la Yanga kuchangia kwenye harambee ya CCM Tsh milion 100 ni mengi sana yaliibuka na yanaendelea kuibuka.

Kuna wale wanaoichukia Yanga kuanzia utoto wao, kuna wachambuzi uchwara, kuna mashabiki wa Simba na wao pia wamepata pa kutolea sumu zao na mbaya zaidi kuna wanaYanga na wao wamejaa kwenye mfumo.

Ni kweli kitendo kilichofanywa na viongozi wetu sio kizuri ila limeshatokea je tuendelee kupiga kelele na kusahau ya msingi yaliyoko mbele yetu? La hasha hapana.

Viongozi wetu wanamasikio natumai wamesikia na kutambua hilo walikiri hadharani na kuomba msamaha.

Kikwetu mtu akiomba msamaha anasamehewa, kwani hakuna mkamilifu kwenye hii dunia.

Viongozi wetu bado ni vijana, bado wanatafuta uzoefu, basi hata wanapokosea tuwaelekeze kwa upole.

Kumbe basi umefika wakati wa wanayanga kushusha silaha zetu chini na kuungana kwa maslahi mapana ya timu yetu.
 
Umesema vema ila waache kutumia taasisi VIBAYA.
 
Naomba nioneshe ni wapi wameomba msamaha kuwa walikosea? Ungebandika video au barua ya maelezo wakiomba msamaha
 
Siku kadhaa zilizopita kulitokea sintofahamu baada ya chama la Yanga kuchangia kwenye harambee ya CCM Tsh milion 100 ni mengi sana yaliibuka na yanaendelea kuibuka.

Kuna wale wanaoichukia Yanga kuanzia utoto wao, kuna wachambuzi uchwara, kuna mashabiki wa Simba na wao pia wamepata pa kutolea sumu zao na mbaya zaidi kuna wanaYanga na wao wamejaa kwenye mfumo.

Ni kweli kitendo kilichofanywa na viongozi wetu sio kizuri ila limeshatokea je tuendelee kupiga kelele na kusahau ya msingi yaliyoko mbele yetu? La hasha hapana.

Viongozi wetu wanamasikio natumai wamesikia na kutambua hilo walikiri hadharani na kuomba msamaha.

Kikwetu mtu akiomba msamaha anasamehewa, kwani hakuna mkamilifu kwenye hii dunia.

Viongozi wetu bado ni vijana, bado wanatafuta uzoefu, basi hata wanapokosea tuwaelekeze kwa upole.

Kumbe basi umefika wakati wa wanayanga kushusha silaha zetu chini na kuungana kwa maslahi mapana ya timu yetu.
Asante kwa taarifa kumbe hata Simba SC walichangia 300m kupitia friends of Simba SC
 
Back
Top Bottom