Wanaweza kuongoza nchi kama Wanashindwa kusimamia Bandari?

Ndio maana tunasema CCM na serikali yake wamechoka, hawana uwezo na maarifa ya kuweza kuleta maendeleo kwa nchi zaidi ya kuifubaza na kuitafuna.

Watanzania 63 milioni tushindwe kweli kuendesha bandari kwa ufanisi kweli? Hii mikataba ya hovyo itaturudisha utumwani, haiwezekani mwarabu apewe bandari yetu milele.

Tutaweza lipi kama Kila kitu sisi hatuwezi. Na hata kama Samia na genge lake Wana Nia njema kwa nini hawataki kusikiza maoni ya wananchi? Kwanini bandari ziuzwe za huku bara peke? Kwanini hakuna ukomo wa mkataba?

Kwanini Tanzania hatutakuwa na uwezo wa kuvunja mkataba? CCM achieni nchi mtaimaliza, kama bandari tu hamna mawazo mbadala wapi mnatupeka kama nchi?
Wabongo ni roho mbaya tu na wizi ndio tunaweza.
 
Ndio maana tunataka kuwatoa
 
Nimekwambia hawa wapo madarakani kwa sababu hatujaamua kuwafurusha hakuna mwenye sifa hata mmoja wa kutuongoza ss watanzania hapo,wote ni VICHAA watupu hao.waliochaguliwa 2020 hawazidi asilimia 20.Hii nchi inajiendea tu MUNGU ndie amesimama nje ya hapo hakuna kitu.
2025 kitaeleweka hatutakubali wizi huu ujitokeze tena
 
Ndio maana tunasema CCM na serikali yake wamechoka, hawana uwezo na maarifa ya kuweza kuleta maendeleo kwa nchi zaidi ya kuifubaza na kuitafuna.

Watanzania 63 milioni tushindwe kweli kuendesha bandari kwa ufanisi kweli? Hii mikataba ya hovyo itaturudisha utumwani, haiwezekani mwarabu apewe bandari yetu milele.

Tutaweza lipi kama Kila kitu sisi hatuwezi. Na hata kama Samia na genge lake Wana Nia njema kwa nini hawataki kusikiza maoni ya wananchi? Kwanini bandari ziuzwe za huku bara peke? Kwanini hakuna ukomo wa mkataba?

Kwanini Tanzania hatutakuwa na uwezo wa kuvunja mkataba? CCM achieni nchi mtaimaliza, kama bandari tu hamna mawazo mbadala wapi mnatupeka kama nchi?
HILI NI SWALI MUHIMU LA WATANGANYIKA KUULIZA CCM MWAKA 2025
 
Nimekwambia hawa wapo madarakani kwa sababu hatujaamua kuwafurusha hakuna mwenye sifa hata mmoja wa kutuongoza ss watanzania hapo,wote ni VICHAA watupu hao.waliochaguliwa 2020 hawazidi asilimia 20.Hii nchi inajiendea tu MUNGU ndie amesimama nje ya hapo hakuna kitu.
Na Mungu atuepushie mbali na huu uhuni wa viongozi wa ajabu kabisa
 
Mafisadi hayo

Hatuwezi kuuza uhuru wetu kwa haya majangili kutoka uarabuni

Lazima bandari zirudi kwa watanzania
Hakika watanganyika hatutakubali mpaka kieleweke
 
Back
Top Bottom