sipati picha el akiwa amevaa gwanda aisee
Kuanzia leo anatakiwa kuvaa gwanda.
hahaa nimecheka ile clip yake ya ppozzzzz...power aisee siasa mchezo mchafuuu kashasahau sisiem hoyeeeeeWe umewaza karibu, me nimewaza atakapokua anabarizi mitaa ya Magogoni!