ni kweli lugha zetu zimetofautiana lkn kitu ni kile kile.Labda ww uhang sana na wanaume lkn wanaume wenye wivu,roho ya kwa nini na majungu wamejaa tele.Kinachofanya sisi tuonekana haka katabia ni ketu ni sbb sisi wanawake tuko wengi kuliko wao hivyo ni rahisi hii tabia kuonekana kwa wingi kwetu zaidi yao na sbb nyingine ni kwamba sisi tumejaliwa maneno mengi hivyo mahali pakiwa na wivu tu hautajificha sbb ya maneno na vijembe vyetu na makelele mengi, mtu akiuliza nini tatizo hakuna sbb ya maana atakayopata zaidi ya huyu ana nyodo huyu ananionea wivu.
Narudia tena kusema tofauti yetu na wanaume ni ktk lugha tu wkt sisi tukioneana wivu tutasema "anaringa angejua huyo bwana ana mwanamke kila kona" wanaume wao wanasema"jamaa limbukeni kweli tokea apate shori mkali hata hatoi hi kwa washikaji maskani".Pia sisi kitu kidogo tunakivalia sana njuga kuliko wanaume ndo mana sisi tunaonekana sana kuliko wao ktk hili.
Pia nataka kuongezea kwenye kuhisi kuchukiwa.Unakuta mtu kafanikiwa,nyie wala hamumuonei wivu lkn kumbe yeye rohon mwake anahisi kawivu kanawamaliza,yeye mwenyewe sbb anadhani mnamuonea wivu anaanza vitu vya ajabu,mfano anaweza kuanza kutoa vijembe kama....kama ipo ipo tu,mwenye wivu ajinyonge...bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi..na pia anaweza yeye mwenyewe akawakatia mawasiliano.Nyie mnaopigwa vijembe mtaona yeye aliyefanikiwa anawafanyia nyodo,lazima mtajisikia vibaya na ni vigumu kumuombea mema na hata akiporomoka mtamcheka na kufurahia sbb nani anapenda kuona maendeleo ya mtu mwenye dharau na nyodo?
Mim naomba tu ujiulize,je ni kweli kwamba sisi wanawake tukiwa na maendeleo kushinda waume au boyfriend zetu lazima tu tutawadharau?
Kama utajibu hapana,sio wote ni baadhi ,basi jiulize kwa nini wanaume kwa kiasi kikubwa sana huwa hawafurahii mwanamke awe na kipato kikubwa kumshinda yeye kama sio wivu?
Kama ni wivu jiulize kauli hizi umezisikia kwa wingi kiasi gani.
Hapana usifanye hivyo aisee. Huyo nimekuwa nikimtafuta zaidi ya miaka 10 sasa bila mafanikio yoyote.
Alafu nyie huu uchakachuzi umezidi. . .Haya maongezi kwani lazima kila mtu ayafaidi?
Siku ukisahau mliyoongelea mwezi uliopita niulize. . .Hua hamtubanii updates.
Alafu nyie huu uchakachuzi umezidi. . .Haya maongezi kwani lazima kila mtu ayafaidi?
CM bado mwenyewe marafiki zangu wengi ni wa kiume. . .Hawana majungu wala kugeukana hata mkifikia kutoelewana tofauti na wanawake. Kwa wanawake chuki na kukomoana ni vitu ambavyo vina nafasi kubwa sana tofauti na wanaume.
Kuhusu wanaume kutopenda wenzi wao wafanikiwe sana, ni matokeo tu ya woga wa kuachwa solemba na kudharauliwa kwasababu wanajua sana kwamba baadhi ya wanawake ni malimbukeni linapokuja swala la pesa na mafanikio. Ndio maana wengine wapo radhi kuwaacha waume/wapenzi wao kwa wenye nazo zaidi au pale mambo yanapowaendea vibaya, wapo radhi kucheat na yule mwenye nazo zaidi, wako rafhi kuwaibia marafiki zao mabwana na kutembea na waume za watu kwasababu 'WANAZO', ni wepesi kuonyesha dharau pale wanapokua na uwezo zaidi ndani ya familia and so so. Hayo yanatokea kila siku uraiani. . .ndio maana wengine hua hata wanaogopa kusomesha wake na watarajiwa wao kwasababu wanajua kwamba uwezekano wa kuja kutukanwa na kudharauliwa kama matokeo ya elimu waliyolipia wao wenyewe upo sana.
Kala ban. . .Alafu na wewe ulimboa sijui nikulambe fimbo ngapi. . . .!!!!
Mimi tena. . ?HAPANA!!
Heheehe Matola. . .hata sikufuatilia walikua wanaambizana nini.Alimbwatukia nani hadi akala ban? She is so innocent....lol
Mimi nilimboa? Basi mwambie ntamnunulia Coke kutoka kwenye ile vending machine....
Heheehe Matola. . .hata sikufuatilia walikua wanaambizana nini.
Ila wewe ulimboa kweli. . Hata mi nilivyoona kilichomboa kabla hata sijajua kaboreka nilijisikia vibaya. Plus vimbelembele vilivyojifanya kukuza mambo baadae ndio kabisaaaa wakaharibu.
You could have done it differently. . .
Watu walikibebea bango mpaka PM. . . .maneno mengi utadhani wapo kwenye kampeni.
Hata sina chakuficha. . .Mie ni in-no-cent kweli kweli.
halafu unaonekana uko caring and sensitive sana, kaa mbali na manyani watakuumiza hao