Wanawake

Wanawake

Qassim14

Senior Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
182
Reaction score
203
Habari wakuu...
Nauliza tu maana huemda ufahamu wang mdogo au ni vinginevyo.
Swali langu ambalo linahitaji msaada wenu ni
"Je, kuna wanawake wao hawapendi kufanya mapenzi kwa mizunguko mingi? Yaan mfano mishinfo 5 kuendelea mbele??"
Nawasilisha wakuu msaada wenu
 
Umezoa kupigwa mizunguko mingapi na hao viboyfriend vyako?
Samahani lakini.!
Io mishindo mitano Nitapambana kwa mume wangu
Yani kina boyfriend nyie mnihemee mara tano kwa mpigo??

Nehiiiiii
 
Zote hizo mnakomoana au nini? Kama ni wako round 5 mnalala saangapi au hamna kazi za kufanya, kama nimfanya biashara sawa lakini mke au mpenzi ambaye yupo kila siku kuzeeshana tu , labda msiwe mnalala kazi ndiyo hiyo hiyo, utakuta round kibao na chamaana hakuna kupaka uchafu tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari wakuu...
Nauliza tu maana huemda ufahamu wang mdogo au ni vinginevyo.
Swali langu ambalo linahitaji msaada wenu ni
"Je, kuna wanawake wao hawapendi kufanya mapenzi kwa mizunguko mingi? Yaan mfano mishinfo 5 kuendelea mbele??"
Nawasilisha wakuu msaada wenu
Hili swali naomba liende kwa wanawake tuu sasa sisi wanaume tutakujibu nini wakati kuna madume wengine viwili tuu analala huko huko
 
Ndio tupo...tunafanya sex ku enjoy sio kukomoana mpaka usikie k inanuka baruti.
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti baruti
 
Hizi mada za kipuuzi zinafanya Ccm wazidi kuwakeketa ufahamu.
Mzee huku ni mahusino chemba ukitaka mambo ya kisiasa si kuna majukwaa yake. U cant be serious for 24 hrs ur a not a robot... pita mbele ukiona haijakupendeza ili wazid kukutombea ubaki na miela yako utuonge
 
Back
Top Bottom