Jiulize ,halafu ukipata jibu ndio uelewe sio kila anachokifanya mwanamke basi mwanaume anaweza ,au kila anachokifanya mwanamme basi mwanamke anaweza ,Sijawahi kujiuliza hilo swali, na kwanini inakuwa possible kwa mwanamke.
sitojali kwa hilo kwa kuwa naamini katika hili kile alichokisema Whitney Houston I will always love You ........We hangaika na slow jam hizo wakati mwenzio anamiliki jumla
Utateseka mno basisitojali kwa hilo kwa kuwa naamini katika hili kile alichokisema Whitney Houston I will always love You ........
Ukitofautisha Ku deshi deshi mengine yana fanana kabisa tuJiulize ,halafu ukipata jibu ndio uelewe sio kila anachokifanya mwanamke basi mwanaume anaweza ,au kila anachokifanya mwanamme basi mwanamke anaweza ,
Tunatofautiana sana ,na hata kimajukumu hatuwezi kuwa sawa
Hata kudesh desh kwenyewe tunatofautiana ,Ukitofautisha Ku deshi deshi mengine yana fanana kabisa tu
Hahaaaaaa kutofautiana huko bado ni vtu vidogo mno ambavo naona havileti tofauti yoyote kubwa sanaHata kudesh desh kwenyewe tunatofautiana ,
Wengine wafanya darini ,wengine kwenye hot tub ,wengine na rambo zao ,wengine na vibamia ,huyu anacome huku anabubujikwa na machozi ,mwingine kucome kwake ni kusonya.
Sasa kwa tofauti hizo hizo ndio vivyo hivyo na majukumu yanakua tofauti
Teh teh haya bana ,nsije kusikia unalalamikia vibamia humu kama tofauti hizo ni ndogoHahaaaaaa kutofautiana huko bado ni vtu vidogo mno ambavo naona havileti tofauti yoyote kubwa sana
Kibamia kikizidi dharau sasa hakikuni kunapotakiwa kinatekenya tuTeh teh haya bana ,nsije kusikia unalalamikia vibamia humu kama tofauti hizo ni ndogo
Teh teh teh ,yaani mimi siwawezi ,hamueleweki mnataka niniKibamia kikizidi dharau sasa hakikuni kunapotakiwa kinatekenya tu
Hahahaa inamaana hata kuwa juu yako ni kosa?Mimi siku hizi wala sina ubishi tena, hata wakati tunacheza mechi na kufungana magoli akitaka kuwa juu namruhusu, natuma mishale kutoka chini kwenda angani
Naukiwa na ki.... Unabidi ufidie huo udhaifu kwa mahabati ya ukweli na mfuko....... MzuriTeh teh teh ,yaani mimi siwawezi ,hamueleweki mnataka nini
Teh teh vipi ukikuta ana dubanwa na pesa hana hayo mahabati utampa ??Naukiwa na ki.... Unabidi ufidie huo udhaifu kwa mahabati ya ukweli na mfuko....... Mzuri
Huyo hapati kitu dubwana si mchezo linaweza kuharibu mamboTeh teh vipi ukikuta ana dubanwa na pesa hana hayo mahabati utampa ??
Heeee kwa hiyo sasa unataka nini ??Huyo hapati kitu dubwana si mchezo linaweza kuharibu mambo
Hahaaa ctaki kwenda Dodoma mji wa wavivu omba omba na wala wadudu nichagulie mwingineHeeee kwa hiyo sasa unataka nini ??
Nikuchagulie mji tu utoe jibu ...nenda dodoma
Teh teh nenda basi Arusha ukashangae Rift Valley ...Hahaaa ctaki kwenda Dodoma mji wa wavivu omba omba na wala wadudu nichagulie mwingine
mkuu wakizidi kuomba usawa mtashangaa ongezeko linalotisha la marios in town.maana neno majukumu na usawa ni mapana sana.ua haliwezi kusigana na mtunza bustani bhanaakimbia upesi pm kuna kitu kinakusubiri.. Mwanamke sio mtumwa wala mtumishi. Mwanamke ni Ua linalohitaji huduma ya Kumwagiwa maji masafi na yenye baraka.. Can't be without you Jimena wangu