Ha ha ha haaa...umenichekesha sanaa.Mimi siku hizi wala sina ubishi tena, hata wakati tunacheza mechi na kufungana magoli akitaka kuwa juu namruhusu, natuma mishale kutoka chini kwenda angani
Umagharibi utawaponza kabisa, wanachotaka kutengeneza jamii yenye migongano then watatutawala kirahisi sanaWanaenda tofauti na maamrisho ya aliewaumba
Sehemu ya maneno yenu Rubii... halafu ukicheki wanaopigania hayo....Naona povu tu
Sehemu ya maneno yenu Rubii... halafu ukicheki wanaopigania hayo....
1. Wengi hawajaolewa au wameachika
2. Wengi masingo mum
YOU CAN NOT GO AGAINST NATURE
Ahahahahahahaaa Rubiiii....Povu jingine
Wa hivi ndo wanaganikiwaga sana kwenye ndoa....mimi mwanamke ila siamini katika hicho kitu usawa kabisa ,.. ni kitu kipo theoretically ila practically ni uongo
Does complexion circumscription our commensurateness with potent?Ngalikihinj said:YOU CAN NOT GO AGAINST NATURE
Wanawake wanapopigania haki zao,wanapigania usawa jinsi raslimali zinavyotumika bila kuzingatia mahusiano ya kijinsia na wala si mgawanyo wa majukumu kwa kuzingatia majukumu ya jinsi ya kiume na ya kike.Mgawanyo wa wa majukumu kwa mujibu wa jinsi hakuna mwanamke anayekataa,mfano kubeba mimba na kujifungua ni majukumu ya jinsi ta kike,lakini kupika,kufagia sio mgawanyo kwa mujibu wa jinsi ya mtu,kwamba kupika ni kazi za wanawake,kwamba wanaume waende shule wanawake wabaki majumbani sio mgawanyo kwa mujibu wa jinsi ya mtu,ni fikra za kimila basiLeo ni siku ya wanawake duniani kabla ya kwenda sana kwanza fikiria "siku ya wanawake." Si nia yangu kuwakandia but hoja yangu ni vita vya kipumbavu wanayopigana na jinsia ya kiume.
Ukiwasikiliza kwa makini utagundua kuwa adui yao mkuu ni mwanamme na si vinginevyo itakuwa vigumu kushinda nature ninacho kiona wanawake wanakwepa asili yao,wanakimbia majukumu yao,asili ya umbile yao itawahukumu na daima hawatashinda vita hiyo maana hawajamjua adui yao ni nani,adui yao ni wao wenyewe kwa tabia zao za asili,maumbile yao na kiasili kinachowafanya wawe jike mwanamme sio adui yao.
Mfano mzuri ni kwamba mtoto wa kike anaye kimbia malezi ya wazazi kisha anakwenda kujiunga na maisha yasio fuatiliwa na wazazi kisha anapata mimba,hivi then ana kuja kulaumu nimebakwa,nimekimbiwa na kutelekezwa!Hapa ndipo palipo na upumbavu mtoto wa kike lazima ajijue yeye ni mtoto wa kike na apambane ni kike kike maana mfumo unaruhusu.
Sasa wanapojiona nao ni dume basi hapo tujue hakuna familia matokeo yake tutapata watoto wengi wa mitaani kisha jamii katili na isiyo na elimu na maskini asili yao ndio aweza kuwa adui yao mkuu mwanamke ndiye mwenye nyonyo ya kumnyonyesha mtoto but anaacha kumnyonyesha mtoto ili ziwa iwe still!,mtoto kadogo anaachiwa house girl amtunze binadamu ni mnyama na wanawake wakitaka kwenda mbele warudi kwenye asili yao kwa Hawa kuwa
Adamu hawataweza.Adui yenu ni kiasili chenu
target ni muhimu kwa kila jamboWa hivi ndo wanaganikiwaga sana kwenye ndoa....
CC Rubii