Si amesema hatujui kukatika viuno? Sasa nimjibu nini ? labda katuona tuna hizo lock viunoni....
Wanawake toka visiwa vya Unguja na Pemba wameandamana kupinga wanawake wa kutoka Tanga kuwaibia wanaume zao. Wanawake hao wamedai waume zao wakinaswa kwenye mapenzi kwa wanawake toka Tanga basi waume zao wanazamia moja kwa moja na kusahau wake zao majumbani.
Source: mm mwenyewe nimeshuhudia maandamano hayo jana.
tanga bana,kunani paleee!!!! si mchezo,ukilegea unapotea.mi mwenyewe shahidi
Inaonekana dawa za kimazingira zimekutoka mwilini yaani mpaka unakumbuka yaliyokusibu? Sasa, utarudi lini kwenu baada ya kujigundua kuwa uliibiwa kimazingira?
Hawajui tu, badala ya kuwataka wanaume wao warudi ni bora wao watualike sisi, baada ya wiki moja tu wanaume wa zenji wataandamana!!