monaco
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,184
- 1,779
habari wadau:
leo nilikuwa napita maeneo karibu na stand flani,nikasikia jamaa wamekaa wanajadili kuwa mwanamke mzuri anapatikana kwenye msiba....
nikajaribu kuingilia maongezi yao kwa kuwauliza kwanini wanasema hivyo?aliesema yale maneno akanijibu "kwasababu mwanamke msibani hajirembi wala hajiandai",hivyo kama ni uzuri utaomjua jinsi alivyo wa asili....je wewe unaonaje?