Sorry sina nafasi ya kutolea ufafanuzi kwa sasa
Kwa uelewa wangu mdogo nahisi mzuri ikiwa na maana ya tabia sio sura wala umbo,(wapo wenye sura nzuri na umbo zuri but tabia mbovu)
Mrembo ikiwa na maana ya sura tena bila makeup yoyote umbo haijalishi...
Sent from my chaga4n using JamiiForums