Samawia
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 592
- 466
Nakuamkia wewe ambaye ulishakuwa kwenye mahusiano na mtu ambaye ulimpenda sana lakini kwasababu ya jeuri yake akakuacha.
Ukiwa na maumivu makali ukaingia kwenye mahusiano mapya yaliyokutibu majareha yako,na ukaweka nadhiri kamwe hutochepuka na yeyote,Shikamoo.
Wewe ambaye yule aliyekuacha kwa hiana sasa hivi anataka mrudiane, anataka muwe mnapasha viporo hali ya kuwa anajua tayari wewe ni Mke/Mpenzi wa mtu,na wewe unajua alikuacha bila sababu yoyote, halafu ukamwambia haiwezekani na haitowezekana kamwe ,matapishi hayapashwi yakaliwa,Shikamoo.
Wewe ambaye EX wako anatishia kuacha kutoa huduma kwa mwanenu kwasababu hutaki kupasha uporo ,halafu ukamwambia yeye sio Mungu mtoto ataishi hata bila msaada wake,Shikamoo.
"Mkitukataa huwa tunaumia sana na mkitukubalia huwa tunawadharau sana.