Wanawake wote bongo mna simu mbovu??

Wanawake wote???????mbona mim hujanitongoza na niko dar????
 
bona Pole sana. Mjini shule.
 
Last edited by a moderator:

Wadada wa mjini wameshashtuka, mkishawamega mnakimbia. Anaambulia chips mayai tu, na Reds mbili za baridi. Ndio maana siku hizi wanatanguliza invoice (ankara) mapema kabisa. Akikuomba pesa si utamwona malaya? Na wewe kwa kuwa unamtaka si lazima uwasiliane naye kwenye simu? Na pesa ndefu anayoweza kuvua toka kwako kirahisi ni ya simu mpya...!

Kaka lipa bili hizo upate watoto wazuri, full stop!
 
Inategemea na aina ya wanawake unaowatafuta.
Ikiwezeka tafuta mchumba, oa uachane na hiyo adha coz gharama utakayotumia kwa wanawake 10.....
 

ntamwambia beby nimesahau pochi yangu nyumbani na kunasimu hapa botique samsung galax nimeipendaje!!
 
Haahhahaha sa c tunataka cm nzuri bwana au?? Khaaaaa we mwenio anunue we uje uunge tu kuanza kuwasiliana nunua yako ya mawasiliano

Sasa atakua n cmu ngapi mana kwa mwaka mabwana 10 kila amtongozae atasema cmu yng mbovu dadadeki,wanaume tuna kazi nzito ndio mana wengne wanaishia kua matapeli cz y kinadada

Huyo n wakumkopa 2 penz mwisho w cmu nampa cheki hewa akanunue cmu yke n ndio byebye yke
 
Ndo kusaidiana huko,we si unataka nanilihuu nawe mpatie hicho kifanyio cha wozap
 
Ndiyo yale yale ya TONNY TOUCH!!!! MAMBO VIPI BU BUUUU!!

Yaani ni wizi mtupu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…