Wanawake Weusi wana sifa nzuri sana

yaani umempata mmoja mwenye sifa hizo umeamua kufanya conclussion kabisaa
 
Raha inazidi mwanamke mweusi kama emyta aolewe na mwanamme mweupe kama mimi.. Ha ha ha ha ha
 
 
Mmenikumbusha mdada mmoja humu alijiita Cheusi Mangala alikuwa maarufu sana humu. Sijui alipotelea wapi au aliamua kubadili ID.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…